zanzibardaima.net
Jinsi Zanzibar inavyopoteza mapishi ya asili 
Urithi wa kitamaduni (cultural heritage) ni eneo ambalo linapotea kwa kasi katika visiwa vya Zanzibar. Kumekuwa na ushajiishaji mdogo mno kwa Wazanzibari kuendeleza mapishi ya asili hasa yatokanayo…