zanzibardaima.net
Yasemavyo magazeti ya Tanzania leo 7 Juni 2017 
Kuapishwa kwa mkuu mpya wa mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghirwa, kuzikwa kwa Mzee Phelomon Ndesamburo, na ziara ya IGP Simon Sirro huko Kibiti na Rufiji ndizo mada kuu katika safu za mbele za magazeti…