zanzibardaima.net
Rufiji hakufungiki hakufuturiki
Mauaji ya kuvizia yanaendelea kulikumba eneo la Kibiti, Rufiji na Mkuranga ambapo askari mwengine wa mgambo anatajwa kupigwa risasi.