zanzibardaima.net
Ndoto za Dubai, Singapore zinavyoyeyuka Z’bar
Ilikuwa ni asubuhi ya siku ya Jumapili ya Mei mwaka huu, ndipo nilipopokea barua-pepe kutoka kwa mwanahistori na gwiji wa fasihi ya Kiswahili na msomi wa sanaa, Professa Ibrahim Noor, mzaliw…