zanzibardaima.net
CCM Zanzibar na viti vyao vya barafu 
Jiwe la barafu lililoivia baridi kali liko mithili ya chuma. Hufanana na chuma kwa uzito na hata ugumu wake. Likikuangukia mguuni ni sawa tu na uliyeangukiwa na kipande cha chuma kwa kile kishindo …