zanzibardaima.net
Ujenzi wa reli ya Dar – Moro sasa rasmi
Shirika Hodhi la Rasilimali za Reli la Tanzania Bara (RAHCO) limetangaza kukamilika kwa malipo ya awali ya ujenzi wa reli mpya ya umeme ambayo itaanzia Dar es Salaam hadi Morogoro. Akiongea na wana…