zanzibardaima.net
Unajuwa maana ngapi za ‘shibe’ na ‘njaa’? 
Nathalie Arnold ametumia muda mwingi kufanya utafiti kisiwani Pemba kuhusiana na lugha na mahusiano ya kijamii na moja ya ugunduzi wake ni namna Wapemba wanavyofasili shibe, njaa na vyakula kwenye …