zanzibardaima.net
Bado CUF, Uzanzibari ‘vyamuuma’ Said Miraj
Wakati Chama cha Wananchi (CUF) kikiendelea kupita kwenye moja ya vipindi vyake vigumu kabisa kwenye historia yake ya nusu karne, Said Miraj Abdullah, ambaye aliwahi kushikilia nafasi nyingi za juu…