zanzibardaima.net
Siasa ndizo hufuta mfanano wetu
Panza ni moja ya visiwa vinavyounda nchi nzima ya Zanzibar, ambayo ni mkusanyiko wa visiwa vingi, vikubwa vikiwa ni Pemba na Unguja. Kisiwa hiki kipo karibu zaidi na kisiwa cha Pemba kwa upa…