zanzibardaima.net
Miaka 60 CCM imeshindwa kuonesha ubora wake
MTU mmoja nisiyeelewa yuko upande gani kiitikadi, kama anafuata itikadi za upinzani au za chama tawala, kanipa wazo la kufikirisha kama mojawapo ya changamoto za kisiasa. Kanitumia ujumbe mfupi wa…