zanzibardaima.net
Yasemavyo magazeti ya Tanzania leo 24 Mei 2017 
Leo ndiyo siku ambayo Rais John Magufuli anatazamiwa kupokea kile kiitwacho “Ripoti ya mchanga wa dhahabu”, huku bunge likiambiwa utalii umeongezeka maradufu ndani ya kipindi cha mwaka …