zanzibardaima.net
Nyumba zaezuliwa na upepo mkali Unguja
Upepo mkali uliovuma mapema leo magharibi kwa kisiwa cha Unguja unahofiwa kusababisha madhara makubwa, baada ya nyumba kadhaa kuezuliwa mapaa. Mashahidi wanasema eneo la Nyarugusu, jimbo la Pangawe…