zanzibardaima.net
Muungano si tatizo pekee la Zanzibar 
Tuko tunaoamini kwamba Zanzibar ilifanya kosa kuingia kwenye ‘mfumo huu wa muungano’ na jirani yake, Tanganyika. Kwetu kile kilichotokea Aprili 1964 ni “ajali ya kisiasa” kama zilivyo …