zanzibardaima.net
Vitoto vyetu vimeshakwenda, sasa tuambiane ukweli
Hapana shaka, kuwapoteza watoto wetu, walimu na dereva wao kwenye ajali ya hivi karibuni ya Arusha kulilishtua taifa. Tumeumia kama jamii na kupatwa na simanzi kama wazazi. Lakini wakati joto la ma…