zanzibardaima.net
Mke atoweka baada ya kumuua mumewe kwa kisu Pemba
Mwanamke mmoja mkaazi wa Kizimbani, Wete kisiwani Pemba, anatafutwa baada ya kutoweka na mwanawe mchanga muda mfupi baada ya kumchoma kisu na kusababisha kifo cha mumewe. Mkasa huo ulitokea jana ny…