zanzibardaima.net
“Kimya cha dunia kwa haki ya Wazanzibari chaogofya”
Ukimya wa jumuiya ya kimataifa juu ya suala la uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 kwa upande wa Zanzibar kimeanza kuwainua wasomi na wananchi wa kawaida wakihoji dhamira yake. Uchaguzi huo uliofutwa kinyu…