zanzibardaima.net
Tuhuma za mateso dhidi ya mayaya Oman, jibu la Mtanzania
Wapendwa waungwana na wapenda ukweli. Siku hizi za karibuni kumekuwako na upotoshwaji mkubwa wa habari za wafanyakazi wa ndani nchini Oman. Jamani waungwana, Waswahili husema kunya anye kuku akinya…