zanzibardaima.net
Nyumba 200 zasombwa na mafuriko Pemba
Nyumba 666 zimeathiriwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha kisiwani Pemba, huku nyengine 200 zikisombwa kabisa na kuziacha familia zaidi ya 3,000 kukosa makaazi. Hayo yalidhihirikia jana baada ya…