zanzibardaima.net
Kwaherini ‘mashujaa’ wetu wa elimu
Leo ni siku ambayo miili 35 ya mashujaa wa elimu nchini Tanzania inaagwa mjini Arusha. Zanzibar Daima inaunganika na familia za watoto wetu, walimu na dereva waliopoteza maisha kwenye ajali ya juzi…