zanzibardaima.net
Je, wajuwa kuwa Wafaransa milioni 4 walipiga kura za maruhani?
Licha ya mgombea urais wa mrengo wa kati nchini Ufaransa, Emmanuel Macron, kujishindia asilimia 66.1 ya kura kwenye uchaguzi wa duru ya pili hapo jana, dhidi ya hasimu wake wa mrengo mkali wa kulia…