zanzibardaima.net
Wasanii wa Bongo walizwa na ‘mashujaa wa elimu’
Vifo vya watoto zaidi ya 30 vilivyotokea jana Karatu, kaskazini mwa Tanzania, hapana shaka vimelitikisa taifa hilo kubwa kabisa kieneo kwenye ukanda wa Afrika Mashariki. Watoto hao walipatwa na aja…