zanzibardaima.net
Lulu ya Zanzibar: Bi Suad Al Lamki, mwanasheria mstaafu
Bibi Suad Al Lamki, ambaye kwa sasa anaishi Oman, alikuwa jaji wa pili tu mwanamke kwenye Mahakama ya Tanzania baada ya uhuru. Mazungumzo yangu naye, ambayo yapo hapo kwenye vidio hii yanaibua meng…