zanzibardaima.net
Muungano, Zanzibar na miaka 53 ya ukaliwaji wa kimyakimya
Zanzibar ina bahati mbaya ya kukaliwa na tawala za kigeni kwenye historia yake, zikibadilishana moja baada ya nyengine, lakini haijawahi kuacha kuzipinga tawala hizo kwenye historia yake yote.