zanzibardaima.net
Bado kioo kinamkana Dk. Shein
Jumatatu ya tarehe 21 Machi 2016, Dk. Ali Mohamed Shein aliamka mapema kisha akasimama mbele ya kioo chake kujiangalia. Ile taswira kwenye kioo ikamuambia: “Wewe ni Ali tu!” Mwangwi wa …