zanzibardaima.net
Uzimwe usizimwe, Zanzibar i gizani
Tangu Rais John Magufuli wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SMT) atowe kauli yake ya kulitaka Shirika la Ugavi wa Umeme la Tanzania Bara (TANESCO) kuwakatia wadaiwa wake sugu, ikiwemo Serikali ya …