zanzibardaima.net
‘Dystopia’ na machungu ya viongozi wakali
NIMEKUWA nikilitafuta neno moja la Kiswahili kuielezea hali ya Zanzibar ilivyo na inavyoelekea kuwa endapo mambo yake yataendelea kuwa yayo kwa yayo, tuseme katika kipindi cha miaka kumi au ishirin…