zanzibardaima.net
Baina ya mkandarasi na kandarasi
Mmojawapo miongoni mwa washairi maarufu wa Tanzania, Khamis Amani Nyamaume (1926-1971), katika shairi lake labeti nne, liitwalo ‘Saa’, alitunga akasema: Saa za huku na huko, zimekosana majira Sabab…