zanzibardaima.net
Ni “kiasi cha…” sio “kiasi ya…”
Kwa uchache wa nifahamuvyo, lugha fasaha ni kusema “kiasi cha…”, basi haidhuru iwe ni kwa watu au kwa vitu. Yaani, kiasi cha watu kumi, au kiasi cha miti kumi. Kama ambavyo twase…