zanzibardaima.net
Jecha ameifisidi akili yake
NILIPATA kusema kuwa Jecha Salim Jecha amejidhalilisha, amejidharau na kujishusha hadhi. Haaminiki tena pamoja na kuwa ni mstaafu kiutumishi. Alistaafu utumishi serikalini kwa mujibu wa sheria, aki…