zanzibardaima.net
Ndege mjanja hunaswa na tundu bovu
SIJUI kwa nini hasa, ingawa nina hakika sababu ninazo, lakini tangu juzi akili yangu imetekwa na ndege na kasisi. Imekuwa ikivutwa na kuvutiwa na viumbe hivyo. Nimekuwa nikiufikiria ujanja wa ndeg…