zanzibardaima.net
Kauli ya Magufuli si ya kichekesho, ni ya kupingwa vikali
Nimesikiliza sehemu ya hotuba ya Rais John Magufuli wakati wa sherehe za Siku ya Sheria leo (Alkhamis, 2 Februari 2017). Nimemsikiliza aliposema wanaokamatwa na nyara za serikali au madawa ya kulev…