zanzibardaima.net
Utawala unapopuuza mauaji yake ya Januari 2001 na kutuletea mazombi
Zanzibar imejinamia. Tarehe ya leo imesadifiana na tarehe ya miaka 16 iliyopita pale vyombo vya usalama vya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania vilipowafyatulia risasi, kuwauwa, na hata kuwatia vilema…