zanzibardaima.net
Baada ya tarehe 27 Januari, Wazanzibari hawakuwa tena na cha kupoteza ila minyororo yao
Wakati naanza kutaka kuandika kumbukumbu hizi mwili umenisimka mara kadhaa maana katika akili yangu tukio lile halitafutka. Si kwa kuwa niliona chochote kile kwa macho yangu, la hasha, lakini nimeo…