zanzibardaima.net
Dhuluma dhidi ya Uamsho itakwisha lini?
Ni zaidi ya mwaka wa tatu sasa tangu dola ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwakamata viongozi na wafuasi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu visiwani Zanzibar kwa tuhuma za ugaidi. Kwa…