zanzibardaima.net
Miaka 53 ya Mapinduzi: Baina ya uhuru wa kweli na uhalisia
Katika moja ya hotuba zake alizozitoa mwaka 1961, mtu anayetajwa na ‘historia rasmi’ kuwa muasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar, Hayati Abeid Amani Karume, anasimulia kisa cha mama mmoja mwa…