zanzibardaima.net
Kipigo hakijawahi kuwabadili wapinzani kuwa wafuasi wa watawala
Tu, tu tu! Piga huyu, kamata yule! Kazi inaendelea.Kijiji kimejaa vilio vya watoto wachanga, kimetanda khofu na kimesambaa hewa ya sumu ambayo inapopulizwa kuchukuwa masiku kabla haijesha. Kwa siku…