zanzibardaima.net
Mabavu ya CCM yanapoteswa na diplomasia ya Maalim Seif
Uongozi ni hikma, maarifa na busara. Ni kuangalia mambo kwa mtazamo mpana wenye kubeba maslahi ya jamii unayoitumikia. Uongozi si maagizo na maamrisho yasiyo na tija. Si kujikweza na kujionyesha kw…