zanzibardaima.net
Foro: Chaka la watoto wala makombo, vijana wajifanyao machizi
Ulikuwa ni mwanzo wa usiku wa siku ya Jumanne ya tarehe 30 Agosti 2016, majira ya saa mbili na nusu, nikiwa nimeketi katika kingo za Bustani ya Forodhani, nikiwaza hili na lile. Mbele yangu kunapit…