zanzibardaima.net
Kwaheri Jumbe, tunalo la kukumbuka
Mwaka 1975, wakati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akisusia kushiriki katika mkutano wa Umoja wa Nchi Huru za Afrika (OAU) uliokuwa unafanyika nchini Uganda kwa sababu ya tafauti zake na Rais Iddi…