zanzibardaima.net
Mkataa ya Musa humpata ya Firauni
Waswahili hutumia misemo na methali nyingi na kwa mengi katika maisha yao ya siku kwa siku. Miongoni mwa matumizi ya utanzu huu wa fasihi ni kutoa tahadhari juu ya jambo fulani lililowahi kutokea k…