zanzibardaima.net
Dk. Shein, je haya yatosha kuwa thamani ya urais wako?
Maswali yangu hasa kwa Dk. Ali Mohamed Shein nitayaweka mwisho wa makala hii, lakini nitatanguliza kwanza kile kilichonisukuma kuyauliza maswali yenyewe, nacho ni hali ngumu inayopitia nchi yangu, …