zanzibardaima.net
Mgimwa, kwa nini hukuyasema hayo bungeni?
Tume ya Jaji Francis Nyalali ilipanga ratiba ya kutolewa kwa elimu ya uraia kwa miezi 18 ndipo tuingie kwenye mfumo wa vyama vingi. Hii nadhani ingesaidia kuondoa maafa na dosari nyingi zinazojitok…