zanzibardaima.net
Wanachokifanya CCM/SMZ Pemba ni maigizo yaliyopotoka
Mimi siamini lakini nafarijika kwamba hata yale makundi ambayo hupanga na kuratibu uigizaji unaoendelea kwenye vijiji mbalimbali visiwani Unguja na Pemba, nayo pia hayakubali. Hayakubali kwa maana …