zanzibardaima.net
SMZ, mumeniziba mdomo, lakini hamuwezi kuichukuwa sauti yangu
Hatimaye lile jungu lililokuwa likipikwa kwa mawiki kadhaa dhidi yangu, limeiva na kupakuliwa. Alkhamisi ya tarehe 23 Juni 2016, Idara ya Habari Maelezo hapa kisiwani Pemba iliniita na kunipoka kit…