zanzibardaima.net
Brexit inatufunza nini Wazanzibari?
Mambo yote yanayotengenezwa na binaadamu duniani yana uwezekano wa kuvunjwa. Imekuwa hivyo kwa sababu mwanaandamu ana mipaka katika kufikiri kwake na ana khiyari katika kuamua kwake. Kwa sababu mbi…