zanzibardaima.net
Ni hujuma au sanaa ya kujipiga mwenyewe ukalia?
Vuta picha kwamba uko usingizini ndani ya nyumba ambayo imeezekwa kwa makuti na tayari yana miaka kadhaa juu ya paa na, hivyo, yameshakauka na yameshaanza kupoteza uimara wake wa kuweza kuhimili mv…