zanzibardaima.net
“Nataka kuwa kama Maalim Seif”
Sikumbuki mwezi wala tarehe, lakini mwaka ni 1985. Naukumbuka mwaka huo kwa kuwa nilikuwa darasa la tatu katika skuli yangu ya Pandani. Kinachonifanya niukumbuke mwaka ni hilo darasa lenyewe nililo…