zanzibardaima.net
Dk. Shein, Dadi na Msangi, kwani Mungu si Mbora wa kuhukumu?
Ni Qur’an ndiyo inayouliza swali hilo katika sura yake ya 95, aya ya 7. Namna ilivyokuwa na miujiza, katika aya ya 4 ya sura hiyo hiyo, Qur’an inaelezea namna Mwenyezi Mungu anavyojisif…