zanzibardaima.net
Mshikamano hauletwi kwa risasi na mabomu
Haupo uwezekano wakupanda fitna kisha uvune wema au chuki na baadae uvune upendo. Utachokipanda ndicho utachokivuna. Hii husemwa kwamba ukipanda ubaya, utavuna ubaya. Suala la mshikamano limezungum…