zanzibardaima.net
“Ikiwa gharama ya Muungano ni kuiua demokrasia Z’bar, basi hautapona”
Serikali ya Tanganyika inayojidai kwamba ndiyo ya Muungano imesimamia kuvunjwa kwa Katiba ya Zanzibar kwa kuiweka kwa nguvu Serikali haramu huko Zanzibar. Nasema hivi kwa sababu kulikuwa hakuna msi…